icho cha njano nini? kama kimba vile, au ndiourojo wa zanzibar?Karibuni lunch hapa fukwe za unguja
Au nimeangalia vibaya mkuu, si ugali ni halua!?...
bujibuji unaujua udaga, du, we mtu wa kanda ya ziwa nini na hasa ukerewe, manake kule hili neno linatumika sana kwani ugali wa muhogo ndo chakula chao kikuuMbona sioni urojo? udaga na zenji wapi na wapi?
Karibuni lunch hapa fukwe za unguja