Karibuni! NY steak and Mojito, the best combination!


Nakuongezea na icho cha ukweli ukitaka kujua wapi kinapatikana we ni PM nakupa maelezo kunahadi na supu ya ukweli tena kwa kipindi kama hiki yani burudaniiii
 
mmh!!!!!!!! umeshaharibu mlo kwa kuweka huyo panya hapo...lakini kuna mwingine udenda unamtoka hapo
 
Damn,that's nasty! Watu wengine wanapenda kuharibu Mlo wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…