Ehhhhhhhh, mwaname mwanameeeeeeeeeeeeeeeee EhhhhhhhhhhhhhSa' hivi songi la Young Star ndo liko hewani.
Kitorondo kitorondo...
Kitorondo na mwenzie...
Endeleaaa!
Tandale hata bata akitaga tayari, utawaskia tu
Hivi vigodoro vinaharibu sana teenagers siku hizi!
By the way, birthday tu ndo mpaka watu wakeshe? Makubwa. Mkesha mwema
afu ungeona hayo maisha ya wanaofanya birthday?
Hizo pesa ni bora wangefanya mtaji wa biashara...
Ila maisha yenyewe yako wapi, acha watu waweke shida chini watupe mikono juu!