Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Mi niko Simba...hebu nipe matokeo faster....tulirudisha zile tatu?
So if sio fan wa simba sikaribishwi?!
Presha imeisha bibie?
njoo nikufanyie massage!
Ndugu zanguni mashabiki wa simba kwa furaha niliyonayo sina budi kuchinja mbuzi ili nijipe raha! Karibun saana! Yanga a.k.a kandambili njoon msiogope na mjiandae mzunguko wa pili timu yetu itakuwa imekamilika kila idara!
Account full karibu saana usiogope, smile, rock city, mam mden na wengne weng! Nashindwa hata kuandika vizuri kwan furaha imeja tele ndan ya moyo wangu!
Ha ha ha!
pole wee!
Much thanks,imebak kulala tu hapa
So if sio fan wa simba sikaribishwi?!
Wee acha kabisa shafanyiwa
Erickb52 ajitahd kukulisha vizuri,maana nahs ye atakuwa anashangilia bado!
I wonder hata hiyo massage alikufanyia nani!
...miss you....mpaka nimekuotaAchna na mai waifu
Shamkanya lovieMwambie asilete mazoea aisee
Yaani nikikuona tuu mimi .....dash dash.....Mwaaaaaaaaah
...miss you....mpaka nimekuota