SNL SOLAR LTD
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 205
- 26
Kifaa cha watts100 kutahitaji backup ya watt ngap ili kifanyekaz kwa saa10?
1,645,000/= hiyo ni pamoja na kila kitu + labor feeShi ngapi?
itafaa japo utapata umeme kwa muda mfupiVp Kama nnayo betry ya 100AH moja na inverter yenyeuwezo wakuconvert AC To DC,.ya 650
va itafaa?
masaa 6 mpaka 8 kama vifaa vyote vinafanya kazi iola kama baadhi vimezimwa masaa yanaongezeka.itakaa mudagani?
masaa 6 mpaka 8 kama vifaa vyote vinafanya kazi iola kama baadhi vimezimwa masaa yanaongezeka.
Kiongozi mimi nimefunga Solar power ya 200watt ila haikai kabisa na moto. Betri haijawai kujaa.
Betti ni 200Nh, Solar panel ya 200watt na controller ya 20amps. Je hapo tatizo ni nini? Wire uliofungwa ni 6mm.
Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu, comment yako sikuiona kwa bahati mbaya, hapo tatizo ni battery na panel ziko sawa ndio mana haiwezi jaa, atleast ukiongeza ukubwa wa panel ndio battery inaweza jaa kabisa.Why haujibu hiyo comments yangu???
Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu, comment yako sikuiona kwa bahati mbaya, hapo tatizo ni battery na panel ziko sawa ndio mana haiwezi jaa, atleast ukiongeza ukubwa wa panel ndio battery inaweza jaa kabisa.
ila kila kitu kipo sawa kwa maelezo yako.
Milion 9 na nusu,Hebu tuelelimishe kidogo! Mfano nyumba kubwa ya vyumba vinne fridge mbili tv na kadhalika umeme wenye nguvu ya kutosha max unaghalimu shilingi ngapi!?