Ningeweza kuweka link hapaNahitaji SUBARU IMPREZA matata, hebu nipe sampuli na gharama zenu!
2002 Toyota Corolla Runx / AllexBei inaanzia
13,600,000/=
Unapewa pamoja na BIMA kubwa ya mwaka mzima bure.
Ni 5,440,000/= gari yako inaanza kuja.
Karibu sana.
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097
Bei inaanzia
13,600,000/=
Unapewa pamoja na BIMA kubwa ya mwaka mzima bure.
Ni 5,440,000/= gari yako inaanza kuja.
Karibu sana.
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097
Ni biashara,Hata hivyo mkuu unazi overprice sana mfano hiyo Ractis inafika kwa milioni10.1 tu (manunuzi4.6m, ushuru4.5m, tbs+bandari0.8m). Ushauri usiweke reference namba za Beforward utaumbuka sababu watu wanaweza kufanya mahesabu.
Kimsingi, Volkswagen Touareg Reliability rating yake ni 3.0 kati ya 5.0. kitu ambacho kinai-rank 25th kati 26 kwenye midsize SUVs.Natamani sana kuagiza Volkswagen Toureg ya mwaka 2007 TDI.
Mnaushauri gani kwa hiyo gari