Karibu tujifunze website development/programming for free.

UPDATES
Ladies and gentlement, tumeweka videos nyingine, karibuni kwenye channel yetu!! pia tunakaribisha mawazo hasa katika maboresho ya channel!! TAFADHALI VISIT OUR CHANNEL AND DONT FORGET TO SUBSCRIBE!


Channel link:

AfriCom Developers
 
Mkuu MBNA channel imekufa hauweki vtu tena
 
Mkuu ni vizuri uwe specific na utoe correct information. Umedanganya uliposema kazi ya Bootstrap na Foundation ni kufanya website ziwe responsive. Si kweli kabisa. Hizo ni CSS frameworks tu kuremba website, zinarahisisha styling. Ila responsive website inafanywa na CSS plain tu bila shida, media queries zinapiga mzigo vizuri. Kuliko kumfundisha mtu wrong information ni bora usimpe information yoyote, najua umeamua kusema responsive kurahisisha kuzidefine hizo CSS frameworks kwa mtu asiyejua anaweza changanya, ila ni bora usingeziongelea kabisa kuliko kuziongelea alafu ukatoa wrong information.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…