Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Mkuu ningependa uandike jina la YouTube channel unayoitumia ili iwe rahisi kukupataHabari wana JF!
Leo nachukua nafasi hii kuitambulisha Yuotube channel ambayo tutaenda kujifunza hatua kwa hatua web development na computer programming kwa ujumla!
Kwa kuanza nimeandaa video ambayo itakupa mwangaza wa website development (angalia kwenye link hapo chini). Tutaona kazi au aina za web developers na ni ujuzi gani wanatakiwa kuwa nao, hii itakuwezesha wewe kuamua unataka kuwa aina gani ya web developer! Nitajitahidi atleast kila wiki au baada ya siku kadhaa niweke masomo yanayohusu web development au programming!!
Videos zitakua ni kwa wanaoanza, haijalishi level ya elimu yako, lugha ni kiswahili na english! utachohitaji kompyuta yako, internet (vingine tutaambiana kwenye videos/masomo)!
Okey, enough me typing, twende moja kwa moja kwenye channel!
Soon nitaandaa series ya videos kwa website development (step by step)! Tunakushauri u-subscribe kwenye channel ili kupata updates za video/masomo mpya nitazoweka kwenye channel!!
Nakaribisha maoni na mawazo yenu hasa kuhusu mada/masomo/tutorials na channel kwa ujumla!
Lodrick
Africom developers
Let develop something useful today!
Jina la channel ni "africom developers" mkuu!! Karibu sana! au ingia hapa AfriCom DevelopersMkuu ningependa uandike jina la YouTube channel unayoitumia ili iwe rahisi kukupata
Hilo ndio lengo mkuu wangu!! Shukran kwa mawazo yako!!Keep it up mkuu na nakushauri mwisho wa kozi muunde project kwa ambao watafuatilia videos.
Hilo ndio dhumuni mkuu wangu!! Karibu uungane nasi...u can like or subscribe to the channel!! Nimeeka video ya kuonyesha wapi uanze kama unataka kiwa web developer!! Karibu sana mkuu!!Tutafaidika wengi
Nashukuru sana mkuu!! Karibu sana tujifunze pamoja!!Mkuu hongera umeitendea haki JF
Yaaah na ndio maana nikasema kabisa ni kwa beginners and what you need is a pc na internet na uelewa mdogo wa english! Hiyo inatosha kabisa!!Mkuu hii itatufaa hata sie tusiosomea IT na computer science?
Weka link ya youtube nikajiandikishe fastaaa
Nimepitia video yako naona unajitahidi!! Anza kuweka video nyingine za php js au html na css!! Tunangoja boss!Yaaah na ndio maana nikasema kabisa ni kwa beginners and what you need is a pc na internet na uelewa mdogo wa english! Hiyo inatosha kabisa!!
Ingia youtube andika "africom developers" then subscribe au click hiyo video hapo juu ili upate updates za video/masomo mapya!! Karibu sana mkuu!!
Nafwatilia mkuu... naona mnajitahidi!!Tumeweka video ingine please visit our channel!