Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Kumbe 4G ina laini zake maalumu eeh, sikujua
Internet yenyewe ya 3G bado inapatika kwa tabu sana maeneo mengi ya Dom, ndio wanataka kudanganya na hiyo 4G?!
Hivi tecno c8 ina support 4G??.. naomba jibu.
Natumia hiyo tigo 4g.hamna kasi inayozidi 3g ya Vodacom au Airtel. Halafu inakata kata sana. Wala usijipe moyo. Ni kanyaboya
Hivi tecno c8 ina support 4G??.. naomba jibu.