Suleiman Mfua Member Joined Feb 27, 2014 Posts 62 Reaction score 64 Apr 2, 2022 #1 Si wajibu wa Serikali kusimamia chama Cha Mapinduzi, Ila Chama Cha Mapinduzu kina wajibu wa kuisimamia Serikali. Nakubaliana na hoja hii na ndio ukweli ulivyo. Kama hukubaliani na hoja hii karibu tuwekane sawa!!!
Si wajibu wa Serikali kusimamia chama Cha Mapinduzi, Ila Chama Cha Mapinduzu kina wajibu wa kuisimamia Serikali. Nakubaliana na hoja hii na ndio ukweli ulivyo. Kama hukubaliani na hoja hii karibu tuwekane sawa!!!