Karibu kitenge ninapatikana Dar es salaam

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,731
Bei: Cash 35000/=
Ukichukua zaidi ya vitenge 5..........unapewa kwa 30000/=cash
Mawasiliano: 0687014522
Asanteni

ull]430821[/ATTACH] [/ATTACH] ]
 
Sawa kiongozi ila wengine chenji ya boda inatubana kuja huko.nakupongeza kwa vitenge vizuri sana
 
Kuja Tanzania sababu hela ya hapa imeshuka thamani kulingana na shiling kwa sasa.kwa iyo faida inakuwa ndogo sana
hiyo hiyo kidogo mkuu heri hamsini mbovu nzima kuliko mia mbovu funga mkanda
 
Havichuji nipo Dar km utahitaj unanichek kwenye number hiyo tunaangalia jinsi ya kufanya biashara karibu
 
Ni vizuriiiii,hicho chekundu kitanipendezaje jamani?
Dah...biashara njema shost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…