BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Mambo vipi mkuu?? kisota napata nyumba??Hahah hizo ziko kisota mkuu kwa darajani sijaziona bado
Hata kisota sawa price yake ikoje??Hahah hizo ziko kisota mkuu kwa darajani sijaziona bado
Kisota(mji tulivu) nyumba zipo mkuu we niambie tu unataka nyumba ya vyumba vingapi na yenye sifa ganiMambo vipi mkuu?? kisota napata nyumba??
Hahah daraja ni hela yako tuMinataka Daraja vipi? (Joke) hvi naweza kupata kiwanja maemneo ya mji mwema? na vina Range kiasi gani kwa bei?
vyumba viwili tu, kimoja kiwe self contained, iwe iko kwenye uzio wake (stand alone), maji, umeme viwepo pia.Kisota(mji tulivu) nyumba zipo mkuu we niambie tu unataka nyumba ya vyumba vingapi na yenye sifa gani
Dah! Una haraka sana chiefNyumba nzima ipo Kigamboni maweni kodi 500k/month
1. Three bed rooms
2. Lounge
3. Dinning
4. Kitchen with storage
5. Parking
6. Wall fence
(kisota) Vyumba viwili kimoja mastervyumba viwili tu, kimoja kiwe self contained, iwe iko kwenye uzio wake (stand alone), maji, umeme viwepo pia.
Kuna chumba master, kina fence, maji, tiles,madirisha ya vioo, gypsum bei laki 1 kwa mweziSingle self contained madirisha ya kioo,gypsum na tairisi (spelling breakdown )
Napiga namba yako hapatikaniKuna chumba master, kina fence, maji, tiles,madirisha ya vioo, gypsum bei laki 1 kwa mwezi
Karibu chief
Mkuu jaribu hata kutuma msg mi niko hewani 0718295182Napiga namba yako hapatikani
Au npm yako nikupigieNapiga namba yako hapatikani
25 x 25Hahah daraja ni hela yako tu
Mji mwema kiwanja cha ukubwa gani chief
Mjimwema 25x25 milion 30-15 kufatana na eneo25 x 25