Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,641
Kwani Mwamnyeto alifanywaje kwenye mechi na Mbeya City kabla juzi pale Sokoine stadium? Kama Inonga ni pazia basi Mwamnyeto na Djuma Shaaban ni bikini nyeupe tenaInonga ni beki bora kwa sababu ya kumkamia Mayele asiteteme. Nje ya hapo, Inonga ni pazia tu.
Na kama huamini, basi angalia marudio ya mechi yao na Namungo kule Lindi uone namna alivyo nyanyaswa na kufedheheshwa na akina Obrey Chirwa.
Stupid fishNasri Khalfan: Mwamnyeto alistahili tuzo:
"Binafsi Bakari Mwamnyeto alistahili tuzo ya beki bora wa msimu, vitu vingi kitakwimu kamzidi Inonga. Wote Mwamnyeto na Inonga wamecheza michezo (27)"
"Mwamnyeto hana kadi nyekundu, Inonga ana kadi nyekundu, na kwa beki wa kati kitendo cha kumaliza msimu bila adhabu yoyote ni jambo kubwa sana"
"Mwamnyeto akiwa nahodha kafungwa magoli (7) tu, Inonga kafungwa (13),, Mwamnyeto hajapoteza mechi yoyote, Inonga kapoteza mechi (3)"
"Kama walitumia vigezo vingine walipaswa kuviweka wazi kisha tulinganishe yupi bora. Timu haijapoteza Mchezo wowote ligi kuu, imeruhusu magoli machache zaidi, ina Cleansheets nyingi zaidi inakuwaje isitoe beki bora ? Kwani kazi ya beki ni nini ?!"
"Sisemi Inonga hakustahili tuzo ya beki bora, lakini nafikiri wanaosema Mwamnyeto alistahili tuzo wanahoja ya msingi"
- Nasri Khalfani
Punguza mihemkoStupid fish
Mimi sijamtaja Mwamnyeto kama beki bora/aliyestahili sehemu yoyote ile kupata hiyo tuzo.Kwani Mwamnyeto alifanywaje kwenye mechi na Mbeya City kabla juzi pale Sokoine stadium? Kama Inonga ni pazia basi Mwamnyeto na Djuma Shaaban ni bikini nyeupe tena
Very stupid and racist fishPunguza mihemko
Yeye mwenyewe Inonga anajua ni tuzo ya mchongo kwa hisani ya Mr Karai!Tuzo ya beki bora ni yake Bakari Nondo aka "Nesta", le kapiteni Yanga na Taifa Stars full stop!Yaani yanga kuwa bingwa wanajiona kila tuzo wanastahili wao kweli lucy aymel na haji manara hawakukosea sasa nikukumbushe tu enonga alikuwa beki bora wa congo msimu uliopita kama mnataka tuzo yenu anaweza akawarudishia na haitaondoa ubora wa enonga kama mna mabeki bora basi tutawaona mechi za kimataifa malalamishi fc.
Tumesikia kilio chako......Inonga ni beki bora kwa sababu ya kumkamia Mayele asiteteme. Nje ya hapo, Inonga ni pazia tu.
Na kama huamini, basi angalia marudio ya mechi yao na Namungo kule Lindi uone namna alivyo nyanyaswa na kufedheheshwa na akina Obrey Chirwa.
Fatuma upoTumesikia kilio chako......
HENOCK INONGA BACCA NI BEKI KATILI,FUNDI ,NA BORA SIO TU TANZANIA ILA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
haya nuna sasa.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani kipa si ametoka yanga?Nasri Khalfan: Mwamnyeto alistahili tuzo:
"Binafsi Bakari Mwamnyeto alistahili tuzo ya beki bora wa msimu, vitu vingi kitakwimu kamzidi Inonga. Wote Mwamnyeto na Inonga wamecheza michezo (27)"
"Mwamnyeto hana kadi nyekundu, Inonga ana kadi nyekundu, na kwa beki wa kati kitendo cha kumaliza msimu bila adhabu yoyote ni jambo kubwa sana"
"Mwamnyeto akiwa nahodha kafungwa magoli (7) tu, Inonga kafungwa (13),, Mwamnyeto hajapoteza mechi yoyote, Inonga kapoteza mechi (3)"
"Kama walitumia vigezo vingine walipaswa kuviweka wazi kisha tulinganishe yupi bora. Timu haijapoteza Mchezo wowote ligi kuu, imeruhusu magoli machache zaidi, ina Cleansheets nyingi zaidi inakuwaje isitoe beki bora ? Kwani kazi ya beki ni nini ?!"
"Sisemi Inonga hakustahili tuzo ya beki bora, lakini nafikiri wanaosema Mwamnyeto alistahili tuzo wanahoja ya msingi"
- Nasri Khalfani
Mazezeta kweli hayo majamaa!Yaani yanga kuwa bingwa wanajiona kila tuzo wanastahili wao kweli lucy aymel na haji manara hawakukosea sasa nikukumbushe tu enonga alikuwa beki bora wa congo msimu uliopita kama mnataka tuzo yenu anaweza akawarudishia na haitaondoa ubora wa enonga kama mna mabeki bora basi tutawaona mechi za kimataifa malalamishi fc.