Karenzi Karake has no diplomatic immunity


Ukikamatwa what they do is they send you back to your country. Now did they do that to KK?
 
Ukikamatwa what they do is they send you back to your country. Now did they do that to KK?

..siyo lazima wafanye hivyo.

..huyo mwarabu alishitakiwa na kuhukumiwa kwa kesi ya kuua kwa gari in the usa.

..mimi nadhani karenzi aende tu mahakamani ili kusafisha jina lake.
 
..siyo lazima wafanye hivyo.

..huyo mwarabu alishitakiwa na kuhukumiwa kwa kesi ya kuua kwa gari in the usa.

..mimi nadhani karenzi aende tu mahakamani ili kusafisha jina lake.

Hahahaha....lets agree to diagree.
 

Mkuu hawa jamaa wanachanganya mambo makusudi. Its not true that kila mtumishi wa serikali anayewakilisha nchi yake nchi nyingine is a "diplomat". Ili mtu aitwe diplomat, inabidi nchi zote mbili i.e yule anayetuma as well as host country zikubaliane on that said status.

Nchi moja haiwezi kulazimisha diplomat status ya mtu wake kwa nchi nyingine kama anavyodai huyu ndugu yetu that's simply absurd! Diplomats wote walioko Tanzania wameorodheshwa as such na mamlaka zetu and vice-versa wanapokwenda nje. Ndivyo hivyo inavyofanyika worldwide.

Karake Karenzi hayumo kwenye orodha ya Rwandese diplomats in UK because he is not a diplomat, he is simply a Rwandan gov official in the UK. Pili, hata angekuwa na status ya diplomat, makosa anayotuhumiwa nayo ya genocide and crimes against humanity yako juu ya hizo protocals, that's why Omar Al-bashir akibugi nchi za watu atakamatwa na kupelekwa ICC regardless of the fact that he is PRESIDENT of a nation, haitajalisha kuwa marais huwa wana presidential immunity.
 

..mimi nimemuuliza murutongore mbona rwanda waliwahi kumkamta ofisa ubalozi wa tanzania na kumpiga wakati alikuwa na diplomatic immunity?

..kama rwanda wanajulikana kwa ku-revoke diplomatic immunity za waafrika wenzao, vipi leo wajidai wanatetea heshima na hadhi ya waafrika kimataifa?

..mimi nadhani wanadhalilisha waafrika kwa kulazimisha diplomatic immunity kwa mtu mwenye tuhuma kama za karenzi.

..kwangu mimi mtu mwenye tuhuma za ubakaji, mauaji, torture, hapaswi kupewa diplomatic immunity.
 

Ingekuwa vizuri ungetoa details za huyu diplomat wetu ili hawa kina murutongore walitolee ufafanuzi hili tukio.
 
Last edited by a moderator:

is he a diplomat?????
 
Diplomatic passport - Issued to diplomats of a country and their accompanying dependants for official international travel and residence. Accredited diplomats of certain grades may be granted diplomatic immunity by a host country, but this is not automatically conferred by holding a diplomatic passport. Any diplomatic privileges apply in the country to which the diplomat is accredited; elsewhere diplomatic passport holders must adhere to the same regulations and travel procedures as are required of other nationals of their country.[SUP][citation needed]

The question should be: Is Karake an accredited Rwandan diplomat in the UK? or simply a Rwandan diplomatic passport holder?
:teeth::teeth:[/SUP]
 
Muwe mnatu-updates kesi yake inavyoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…