Kitu freeeeeeesh kutoka shamba!!Karanga mbichi hizo za maganda zinapatikana.Zinauzwa kwa kipimo cha kisado na debe/ndoo.
Kisado tsh.3500
Ndoo tsh.16000
Kwa wale wa Mwanza ukichukua kuanzia visado 3 nakuendelea basi utasogezewa hadi maeneo unayoishi.Tunauza jumla na rejareja.
Utamu wa karanga mbichi unaujuaaaaa???????Agiza zako leo ili ukapate furaha na familia yako.Pia wale wafanyabiashara wenzangu mnakaribishwa sanaaaaaaaa.