Kapuya ndo byebye?!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,342
Reaction score
12,065
Kweli nimeamini watanganyika tunaongozwa na matukio, kuanzia hapa jf, blogs nyingine mpaka magazetini upepo umebadilika, sasa ni Rage, Babu Seya na Zitto. Inakuwaje ishu inamalizika kiholela bila kupata suluhu? Ninashawishika kuamini kuwa inawezekana ishu ya Rage imetengenezwa ili kuiondoa hewani hii ya mwana tabora, mwanaccm na mwanasimba mwenzie, Kapuya!
 
Toka jana umepata muendelezo wowote wa jamaa anayejisifu kwa uharifu hakuna?kila uzi hapa ni cdm cdm zitto zitto arfi arfi nani akumbuke yule binti anayedai kubakwa?
 
Toka jana umepata muendelezo wowote wa jamaa anayejisifu kwa uharifu hakuna?kila uzi hapa ni cdm cdm zitto zitto arfi arfi nani akumbuke yule binti anayedai kubakwa?

Kweli kabisa, na ndo maana wanasema ni rahisi kuiongoza hii nchi na kufanya kila baya maana baada ya mda kidogo watu watasahau
 
kivyako ulikuwa hujui umri huo..?
 
Last edited by a moderator:
Toka jana umepata muendelezo wowote wa jamaa anayejisifu kwa uharifu hakuna?kila uzi hapa ni cdm cdm zitto zitto arfi arfi nani akumbuke yule binti anayedai kubakwa?

Ifie mahli sasa Wabongo tuseme basi. Hya malalaiko ya maneno tu, hayatatufikisha popote.
 
Kaka issue ya Kapuya bado mbichi. Utakumbuka kupitia kwa wakili wake alisema na kuahidi kua atalipeleka Tanzania Daima mahakamani wk hii. The juicier part is yet to come.
 
Kaka issue ya Kapuya bado mbichi. Utakumbuka kupitia kwa wakili wake alisema na kuahidi kua atalipeleka Tanzania Daima mahakamani wk hii. The juicier part is yet to come.

Kweli binadamu wote ni sawa hasa upande wa libido na instincts hata ma-prof. mguu wa tatu unarefuka hadi unakanyaga chini..??!!
 
sahv hata ya Rage haitapata sauti. Gumzo ni maamuz ya CDM na matokeo yake.
 
Yaani mzee wa watu atakvyokuwa ameshukuru kutokana na kuibuka kwa sakata la akina Zitto, nadhani anaweza hata akawatafuta awape zawadi kama shukrani namna ambavyo wamemwokoa, yaani alikuwa hapumui. Halafu sasa mzee mwenyewe alivyo na nyota na media, yaani akisikika kwenye media moja tu, media zote zinamwandama nadhani hata za nchi jirani huwa zinamwandika. Bora naye apumue mzee wa watu
 
Tetetete! anaomba hilo tifu la Zito na Rage yasiishe mapema
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…