Na hilo goli ndilo lililowaponza. Unaweza kushinda mechi lkn angalia umeshindashindaje. Goli lakubahatisha ila mpk leo mnalipigia kelele. Yanga hamna uwezo kwa Sasa kumfunga mnyama km sio goli la faulo. Msipojipanga vzuri msimu ujao mnaweza bakiwa na ule msemo wa Simba anabebwa. Nawataadharisha tu
Sio kujua mm ni mpinzani wako ilikuwa dua yangu kapombe asiwepo ingekuwa faida kwetu km nyie tu mlivyofaidika kutokuwa fiti kwa Papy,Niyo na Balama hizo zilikuwa propaganda kutoana mchezoni sikuwa najua chochote sababu si mtu wa ndani wa simba nijue kila kinachoendelea!