mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
Simba walijua kuwa Kapombe anahitaji msaidizi wake lakini wakakaa kimya dakika za mwisho wakamsajili shamteHalafu kocha ajue mbadala sio shamte kwa mechi ya leo maana hamna kitu sijui alifikaje pale simba
Bora nyoni acheze kulia na kati wacheze wawa na kenedyHalafu kocha ajue mbadala sio shamte kwa mechi ya leo maana hamna kitu sijui alifikaje pale simba
Aisee kiwango chake ni cha kawaida mno, ni wa timu ndogo.Simba walijua kuwa Kapombe anahitaji msaidizi wake lakini wakakaa kimya dakika za mwisho wakamsajili shamte
kama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kihistoriaBora nyoni acheze kulia na kati wacheze wawa na kenedy
Yanga ni timu hatari mbwembwe za kikosi kipana zimeisha imekuwa ya kuona madhaifu tupu hahahaahahahaSimba walijua kuwa Kapombe anahitaji msaidizi wake lakini wakakaa kimya dakika za mwisho wakamsajili shamte
Magoli machache mkifungwa ni matatuYanga ni timu hatari mbwembwe za kikosi kipana zimeisha imekuwa ya kuona madhaifu tupu hahahaahahaha
kuweni na amani tunawapiga 2-0 tu sio nyingi
Duh sawa ...ngoja tusubiri muda uwadie mkuukama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kihistoria
kwa mpira gani? ama huu wa kurudishiwa goli 2 ndani ya dk 3Magoli machache mkifungwa ni matatu
muda wa kumuua mnyama goigoiDuh sawa ...ngoja tusubiri muda uwadie mkuu
Usiongee maneno yote ...weka akiba kidogo kwa sababu ugagula wenu ukijichanganya tu...mtayakoga mengi sanaππππmuda wa kumuua mnyama goigoi
umesahau uchawi wenu wa mvua kunyesha hata kiangazi. sisi tunakupiga magoli safiii hayana mawaaaUsiongee maneno yote ...weka akiba kidogo kwa sababu ugagula wenu ukijichanganya tu...mtayakoga mengi sanaππππ
Kwa nini deo asiwepoKapombe kuanza leo uhakika ila Deo Kanda inawezekana asiwepo hata benchi
Kwenye mazoezi ya jana kocha aliwatenga wachezaji watano akiwemo Deo na kichuya akawataka wafanye mazoezi na kocha wa viungo akachukia akaenda kukaa kwenye gariKwa nini deo asiwepo