Nimekuletea ile poku rosti na kisusio...nimeshukuru sana ulipoitikia abeeeeee....na mimi nikakuonjesha kisusio..Hhahahahahahhahahahaaa wee endelea tuu na uchokozi wako..
Abeeeehh...
Nimekuletea ile poku rosti na kisusio...nimeshukuru sana ulipoitikia abeeeeee....na mimi nikakuonjesha kisusio..
Hebu ona kisusio kilivyo kitamu...unaona ubishi wako ulivyokuwa unakukosesha kitu kitamu?
Sasa basi...hapa unachotakiwa kufanya unachukua hii kitomoto rosti unachovya kny hiyo kisusio kisha unakula....tamu hivyo...
Hahahaaaaaaaa....."finger licking tastes good")???????Hhahahahahaa ndo nimekisusia hicho kisusio hivyoooo...
Mbona huleti mrejesho kuwa ulijiramba vidole kutokana na utamu hadi ukajifunga plaster?Ntaenda kula hapo leo mchana.
Mbona huleti mrejesho kuwa ulijiramba vidole kutokana na utamu hadi ukajifunga plaster?
Kisifu basi kisusio jamaniiiii kasieeee?Sio tuu kujiramba vidole bali hadi ulimi nimejing'ata kwa utamu wa msosi.
Nikashindwa kuleta mrejesho hapa shibe ilikuwa juu hadi usingizi ukanichukua.
Kisusio Oyeeeeeeeeee......jamani koo langu....umtiii goooooool.Acha fujo banaa, huangalii mpira leo?
Kisusio oooyeeeeeee aahahahahahahhahahahaa.
Poleee