Kaona Mambo Iko Huku.....

Hapo utataka niharakishe pozi langu kutoka mwendo wa kinyonga hadi digi digi. Usiyaamshe Kasinde Matata. Tukishaanguka tukija kuinuka tunagonga matobolwa na chai ya maziwa. Maisha rahisi kabisa.

Hahahhahahahahahaa

Sam..... ndo unanoga hivyoo.... wallah wacha na mie niharakishe.... heheheheheh
 
Akitoa kibali yeye mwenyewe itapendeza zaidi. Anauelewa mkataba na makubaliano yetu. Sio mtata, ni Matata.

Mwambie wifi asiwe na shaka, avute subira kidoogo. Kabla mwaka huu haujaisha basi makubaliano na mkataba wetu unaenda kutimia.
 
Ni kisema tu kasie mapenzi...ile unafungua tu mdomo....abeeeeeee....na mimi natumbukiza kisusio mdomoni ...dumbwiii...hahahahaaaaa.
hahahahahahah asante kuniambia mbinu yako mapema..... ntakuwa naguna tuu aahahahahaha
Na nikiona umeshika kijiko hizo mbio ntazotimua humo ndani, japo pana sakafu ila vumbi litatimka wallah Heheheheheheh.

Hats ikiwa bila kikuku cha mama roda ntaifahamu tuu.

Hata kama ung'ang'ania nami naendelea kubisha kuwa hutoijua maana ni vitu viwili tofautii hehehehehehehehhe

Kwanza itakuwa ndani ya dera hata hutoina.
 
Mwambie wifi asiwe na shaka, avute subira kidoogo. Kabla mwaka huu haujaisha basi makubaliano na mkataba wetu unaenda kutimia.

Ndio maana nilikuachia hilo jukumu. Sina shaka nawe. Wifi yako nae muelewa kama wewe.

Akianza kukuita wifi sasa hivi, atavuruga muktadha wa makubaliano yetu. Kwa sasa, unatakiwa uwe huru kuliko wakati wowote ule. Hadi pale utakapokua tayari kabisa kwa moyo mmoja kwamba umemaliza kila unachohitaji, na uko tayari kukumbuka mkataba wetu.

Uwe na siku njema Kasie
 
Jamani wana JF namtafuta Kasie mahaba...kasie anayeyajua mapenzi,..kasie kisura,kasie taarabu ilikojitwalia makao hadi nasma akaamua kuimba kuisifu taarabu yake...kasssssiiiiiiiiiieeeeeeee uko wapiiiiiiiiiiii itika basiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
 
Samaritan...... nimekuita kwa jina lako.....

Maneno yako yamenichoma kumoyo.

Asante uwe na siku njema nawe.
 
Jamani wana JF namtafuta Kasie mahaba...kasie anayeyajua mapenzi,..kasie kisura,kasie taarabu ilikojitwalia makao hadi nasma akaamua kuimba kuisifu taarabu yake...kasssssiiiiiiiiiieeeeeeee uko wapiiiiiiiiiiii itika basiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!

Hahahahahhahaahahahahhahahaaa wee wilee weewee... acha fujoo, am here.
 
Hahahahahhahaahahahahhahahaaa wee wilee weewee... acha fujoo, am here.
Haaaaaaaaaaaaa! Kumbe ulikuwa karibu hivyo unaniacha nakuita kwa sauti kubwa hivyo kama vile ulikuwa kule urusi kny kelele nyingi unashangilia mpira? Eti am here...itika basi kale kasauti chako...abeeeeee! Ili nifurahi kumoyo!!!!!!!
 
Hhahahahahahhahahahaaa wee endelea tuu na uchokozi wako..

Abeeeehh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…