Kaona Mambo Iko Huku.....

Kama unakumbuka, nafurahi mno. Lakini pia kumbuka nilisema ukishamaliza kabisa kila kitu, fujo zote ukaamua kutuliabkabisaaaaa, hapo ndio unitafute, mie sina haraka kabisa.

Hhahahahahahaaa, una mbwembwe wewee......
 
Hiyo menu sijawahi kuila wala sitokaa niile bora nilale njaa... ndo maana nikasema haina tofauti na sushii.

kumbe ilikuwa tangu kipindi cha T-bone ila ilibamba....
Wengi walisema hivyo kuwa hatakula ila baada ya kuionja waliomba wafundishwe namna ya kuiandaa.
 
Wengi walisema hivyo kuwa hatakula ila baada ya kuionja waliomba wafundishwe namna ya kuiandaa.

Hakuna mtu mbishi kama Kasie aiseeeh, sita,ani hata kuionja... labda unichanganyie kwenye chakula kingine na hapo itakuwa ni menu ingine tofauti
 
Kasie ishia hapohapo kny miguu na kikuku tuuuu...usiwaonyeshe huo msambwanda.
 
Kasie ishia hapohapo kny miguu na kikuku tuuuu...usiwaonyeshe huo msambwanda.

Huyo sio mimi banaa, ni picha tuu. Mbona mie nilishaweka yangu humu, pasi kama kamchoo hehehehee.
 
Hakuna mtu mbishi kama Kasie aiseeeh, sita,ani hata kuionja... labda unichanganyie kwenye chakula kingine na hapo itakuwa ni menu ingine tofauti
Umesahau? Wewe ni mbishi....Mimi ni king'ang'anizi...ntakushawishi tu hadi ule..
 
Huyo sio mimi banaa, ni picha tuu. Mbona mie nilishaweka yangu humu, pasi kama kamchoo hehehehee.
Hivyo ni yako naikumbuka vizuri...kwani imekaa kinyege zaidi.chezea poku Choma nyie?
 
Nakuelewa.... Pozi lako tuu la kusibiria.....

Iko siku ntakudandia nikirukie kwa nyuma..... Hahahahahahhaa lazima wote tuanguke chini hehehehehee

Hapo utataka niharakishe pozi langu kutoka mwendo wa kinyonga hadi digi digi. Usiyaamshe Kasinde Matata. Tukishaanguka tukija kuinuka tunagonga matobolwa na chai ya maziwa. Maisha rahisi kabisa.
 
Hapo utataka niharakishe pozi langu kutoka mwendo wa kinyonga hadi digi digi. Usiyaamshe Kasinde Matata. Tukishaanguka tukija kuinuka tunagonga matobolwa na chai ya maziwa. Maisha rahisi kabisa.
Bro. Unanipa ruksa ya kuanza kumuita Kasie matata wifi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…