Ohhhhh, Mama una kikuku cha kizungu mguuni, maishalaah, lakini si mbaya maana kiko mguu wa kulia maana huku kwetu pemba ukiweka ki kuku mguu wa shoto twajua maana yake nini. Ila mama guu unalo haswa. vipi nyongani nako kuna shanga za kizungu au zetu za kitumbatu?
Sawa bibie nasma...jamaa kwishney..Habari Zenyuuu.....
Nimewathiiiii hahahahhhaa
Kama kawaida ya Kasie kama dawa mahaba mtindo mmoja.
Kaona mambo iko huku.... taarabu imoo taarabu imooo, kaona mambo uko hukuuu weeehh..... mwanamke mambooo.
Najua kuna watu wanakwazika kila nikisimulia mahaba niliyopewa, mnivumilie tuu maana najitahidi kukaa kimya mwisho nashindwa pwaaaah uzi huu hapa.
Nisidadavue saanaa itoshe kusema Denis amekamua mayai kibao... sasa sijui amebahatisha kupevusha mojawapo....
Tangu jana usiku tulikuwa tunabadili santuri tuu kutoka reggie muffin hadi slow jams....
Isingekuwa kunikanda nisingeweza kuweka uzi hapa, masikini he is so sweet.... kaingia jikoni ananipikia makaroni..... basi nadekajee....
View attachment 805318
Kasie Mahaba Matata.
Mwanamke Mamboooo.....😉
Anhaa..Hapana, ni kamba ya mguuni.
Dogo nenda taratibu, Kasie ni Sawa na mama yako, JamiiForums nzima tunamuheshimu. Unataka uone kalio lake ili upate baraka zipi? Learn from the best, ishi kama tunavyoishi wakongwe wa JF
Mimi ndiye niliyekubatiza nasma..jina lako la utoto tulikuwatunakuita sanamu la Michelini.Sasa mbona unataja jina langu la utoto?
Hadi Leo unakumbuka?Hhehehehehee, hadi nimepata hamu ya nyama choma.....poku choma..
Hadi Leo unakumbuka?
Jumapili ntakuandalia poku risti na kisusio chake pamoja na mbege..
Naamini hapo hutakimbia tena kama Siku ile ya poku choma.
Siku jongo bana...ulienda kula T-bone.Hahhahahahahahhaa acha kunisingizia banaa, ni wewee ndo ulijongomea.
Hua nashindwa kutofautisha kisusio na sushi....
Kwenye ribs umenipata mia ya mia mbili
Siku jongo bana...ulienda kula T-bone.
Kisusio in mchanganyiko wa damu,limao,vitunguu maji na mint...kny uandaaji..tumwombe Sky Eclat atukaribishe kuleee kny jukwaa pendwa.
Nakumbuka sanaa, nakusikiliza wewe...