Kaona Mambo Iko Huku.....

Yaani siku hizi ukikandwa unakuja kuhadithia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Guu la kinyakyusa [emoji16]
Hiko kikuku vepe [emoji849][emoji849][emoji849]

Kasie ni yuleyule wa juzi jana na leo.
 
Nasikia ukiona kikuku usiulize. Usiku wa SAA nane mwanamke anataka kuku nikashangaa mbona kuku amekula na chips? Saa Nane hii kuku nampata wapi. Kuuliza wenyeji kesho yake kumbe ni kuku yuleee mtu kabana sauti nataka hukuu

Endelea kusikia.....
 
Ohhhhh, Mama una kikuku cha kizungu mguuni, maishalaah, lakini si mbaya maana kiko mguu wa kulia maana huku kwetu pemba ukiweka ki kuku mguu wa shoto twajua maana yake nini. Ila mama guu unalo haswa. vipi nyongani nako kuna shanga za kizungu au zetu za kitumbatu?
 
Umetuvunjia heshima....mguu si kitu watu tunataka kuona chura imekaaje au imejichora vipi, ebu jipige picha utuwekee makalio tujiburudishe na tukujudge.

Poleee, naona ulichelewa kwenye ukaguzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…