Anaandika mkuu wa kaya! Kinyangesi.
_______________________
Kanuni ya ndoa za sasa:
Mwaka wa kwanza: mume anaongea mke anasikiliza,
Mwaka wa pili: mke anaongea mume anasikiliza,
Mwaka wa tatu: mume anaongea na mke anaongea majirani wanasikiliza,
Mwaka wa nne: mume anaongea, mke anaongea, majirani wanaongea, mahakama inasikiliza.
.!