Kanumba

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,172
Issa kijoti na mzee kipara wanampokea kanumba kwa shangwe na kumuuliza BIG DADDY mbona umekuja mapema huku? Au FAMILY TEARS imekuchosha,ama umeikimbia MAGIC HOUSE?,lakini ukumbuke UNCLE JJ wabongo wanakukubali,kanumba anajibu YOUNG BILLIONEA huenda sehemu yoyote anayoitaka,ila sometime dunia inaboa coz mademu wengi wana FAKE SMILE hivyo nimeona nisepe kuepuka DANGEROUS DESIRE kabla ya NDOA YANGU...........R.I.P
 
Mbona sasa hakutuaga kama enzi zile anatoka DAR TO LAGOS! Dah Ametuachia MORE THAN PAIN
 
Ha ha ha!, R.I.P Kaka Kanumba, The Great!
 
Jaman acha niulizie hapahapa,,,hivi CHEIN wa kaole yuko wapi????alijiita dr cheni
 
Jaman acha niulizie hapahapa,,,hivi CHEIN wa kaole yuko wapi????alijiita dr cheni

Pita pita mitaa ya Buguruni Malapa au Ilala Bungoni utampata tu, ndo maskani yake tangu enzi zile anapiga mzigo kwenye daladala.
 
Pita pita mitaa ya Buguruni Malapa au Ilala Bungoni utampata tu, ndo maskani yake tangu enzi zile anapiga mzigo kwenye daladala.

Au avizie j'mosi or j'pili gereza la segerea anapoenda kumpa hi Lulu nasikia anajitahidi kwa hilo
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
R.I.P Mwl.Nyerere
R.I.P Dr.Omar A.Juma
R.I.P Edward Sokoine
R.I.P Mfaume Kawawa
R.I.P CCM
 

na ntafunga ndoa na lulu na co JOHARI,hata akinisaliti kama OPRAH.
 
huu ni utani...so sicheki ng'o!tehee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…