Kanisa, Usiogope - Sitta

Sasa umeyajuaje kama na wewe hushindi huku?
 
Mkuu mi nipo duniani huku nakula mafao, Kama tupo kundi moja sawa, ila Kama sio unapoteza muda wako mwingi bure hapa.Hamuwezi badilisha kitu serikalini kupitia Jamii Forums.Hapa mnapiga umbea tu na kupoteza muda wenu bure.
Na wewe toka kwenye huu umbea basi!
 

Povu lote hili utazani unaishi Marekani!!!
 
Wewe ulitaka watu wasilalamikie maovu ya viongozi wafanyeje sasa? wafanye kama Somalia? kwamba kila akoseaye asilalamikiwe bali atunguliwe? mbona una mawazo mabaya hivyo?
Haiwezekani Wote Tuugue uti wa Mgongo Madhara yake kila kiti unaona kimepinda kikipinda unaona kime nyooka 'Call a Spade a Spade Not a Big Spoon'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…