Kanisa, Usiogope - Sitta

Kama ingekuwa kila mnalokomalia linazaa matunda ingeleta maana. Hiki kizazi kimekuwa cha ovyo, umbea, upashkuna ndo imekuwa kazi.Jana imeonekana barua ya KKKT kila MTU kahamishia akili zake zote hapo hapo?,na bado mnalalamika maendeleo hayaji. Hakuna watu wanafiki duniani Kama asilimia fulani ya watanzania ninaowaona humu.Wanashinda wanatafuta tweet za watu, nukuu za Sitta za enzi zile wazilete humu, hivi kwa style hii tutaweza kutengeneza toothpick?.. Ndo maana huwa naombea JPM aendelee kukaza mpaka watu akili ziwarudie, zisipowarudia waendelee kulalama mpaka kiama na vizazi vyao vya ulalamishi mitandaoni.
 
Dongo limepenya sehemu yake.
 
Dongo limepenya sehemu yake.
Toka hapa kafanye kazi kijana umri unakutupa mkono, hii mitandao huko Africa mmeletewa kupumbazwa akili.Ona unavyoshinda unajibizana na watu huwajui?,. Umewahi jiuliza pengine unajibizana na wastaafu wanakula pensheni wewe ukijipotezea muda tu?.. It will take another 100 years for Africa to be where Europe was by 1980.
 
We mwenyewe hapa unapoteza muda tu kujibizana! Au we hutumii muda?
 
We mwenyewe hapa unapoteza muda tu kujibizana! Au we hutumii muda?
Mkuu mi nipo duniani huku nakula mafao, Kama tupo kundi moja sawa, ila Kama sio unapoteza muda wako mwingi bure hapa.Hamuwezi badilisha kitu serikalini kupitia Jamii Forums.Hapa mnapiga umbea tu na kupoteza muda wenu bure.
 
Wewe ulitaka watu wasilalamikie maovu ya viongozi wafanyeje sasa? wafanye kama Somalia? kwamba kila akoseaye asilalamikiwe bali atunguliwe? mbona una mawazo mabaya hivyo?
 
Wekeni na nukuu za Viongozi wenu wa Chadema walivyokuwa wakimtukana na kumdhihaki Mzee Lowasa pale mwembeyanga na Tanzania nzima.
Watanzania sisi ni wanafiki sana mpaka inatia KINYAA.
 
Naona atakayerudiwa na akili hapa ni JPM.
 
Wewe Mbona unajibizana nae,kwani unamjua.
 
Mkuu unaona mbali sana,kuna genge kazi yao ni kutafuta vitweet vya wanasiasa na kufsnya agenda.Hii nchi haiwez endelea kwa aina hii ya watu
 
Wekeni na nukuu za Viongozi wenu wa Chadema walivyokuwa wakimtukana na kumdhihaki Mzee Lowasa pale mwembeyanga na Tanzania nzima.
Watanzania sisi ni wanafiki sana mpaka inatia KINYAA.
Weeeee thubutu.
 
Wekeni na nukuu za Viongozi wenu wa Chadema walivyokuwa wakimtukana na kumdhihaki Mzee Lowasa pale mwembeyanga na Tanzania nzima.
Watanzania sisi ni wanafiki sana mpaka inatia KINYAA.
Na nyie muweke za kwenu mulivyokuwa Muna mtetea hadi mate yanawatoka ili tupime nani mnafiki zaidi
 
NENO
 
Wekeni na nukuu za Viongozi wenu wa Chadema walivyokuwa wakimtukana na kumdhihaki Mzee Lowasa pale mwembeyanga na Tanzania nzima.
Watanzania sisi ni wanafiki sana mpaka inatia KINYAA.
Siyo watanzania bali ni hao wafuasi flani walioamua kujitoa fahamu!
 
Wewe Mbona unajibizana nae,kwani unamjua.
Yaani wewe ni bure kabisa,kama ni mtoto unabadilishana na debe la Mahindi Walah

Asante MKUU kwa kumjibu, halafu ananitishia yuko ulaya wakati hata hiyo Air Port aisoma hapa jf.
 
Hongera MKUU kwa pension, hata wale wa mboga wataenda pension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…