G Godwishes JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 640 Reaction score 167 Apr 13, 2012 #1 Kuna mku wa wilaya alishawahi kuwalamba bakora walimu sehemu fulan Tanzania,Mnamkumbuka?Naic Tanzania ilikofika hata hawa viongozi baadhi baadhi ktk dhana ya uwajibikaji wangewajibishwa kwa bakora!Mambo yangenyooka tuu
Kuna mku wa wilaya alishawahi kuwalamba bakora walimu sehemu fulan Tanzania,Mnamkumbuka?Naic Tanzania ilikofika hata hawa viongozi baadhi baadhi ktk dhana ya uwajibikaji wangewajibishwa kwa bakora!Mambo yangenyooka tuu