Mume wake yupo humu ndani. Kama ataisoma hii thread nadhani atajua kwamba ni yeye ndio namuongelea....Iyo itakua nidini isojali Afya za waumini wao.
Tena ,,kanisa lilipaswa kumuijia juuu na kumkemea nikwann amnyonyeshe mtoto mwezi mmoja.
Tena kanisa lilipasa ,limpumzishe kama alikua nimuimbaji...Kinyume nahapo kuhudhuria ibada namtoto Nijambo lamaana ,sasababu unamleta malaika kukutana na malaika wenzake!!! .
Lkn pia , Mume Wa Huyo mwanamke nibonge LA zembeeeeeee!!.
Cc.Katotoizi
Eehhh ndomaana nikasema nibonge lazembeeeeeeeeeeeeeeee .Mume wake yupo humu ndani. Kama ataisoma hii thread nadhani atajua kwamba ni yeye ndio namuongelea....