T tunasongaMbele Member Joined Apr 1, 2021 Posts 57 Reaction score 51 Oct 17, 2021 #1 Habari wakuu, Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo Dar aje PM tuwasiliane NB it is urgently case.
Habari wakuu, Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo Dar aje PM tuwasiliane NB it is urgently case.
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,923 Oct 17, 2021 #2 Aje pm burr ama kuna commission?
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,432 Reaction score 21,854 Oct 17, 2021 #3 Mzigo wenyewe tani ngapi kwanza Mkuu?
gkasambo Member Joined Apr 12, 2017 Posts 64 Reaction score 71 Oct 18, 2021 #4 Wachek hawa jamaa extra millege wako chap sana Wako pale jengo la ushirka mnazi mmoja
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Oct 18, 2021 #5 Check na Tutume. Watakufaa!