Kampuni ya Puma Gas kulipa fidia?

chameleon

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
555
Reaction score
170
Waungwana mimi ni mmoja kati maelfu ya wateja walionunua na kutumia mitungi ya gas ya Puma.
Kwa wiki kadhaa kampuni husika haisambazi tena gesi hiyo na hivyo kutusababishia usumbufu mkubwa.
Wakuu mtusaidie ni kwa jinsi gani ya kuondokana na kadhia hii na kama tumetapeliwa tutafidiwaje?
 

Endelea na mtungi wako wa awali..
 
Ulikuwa na mkataba nao? Au ulikuwa ni mnunuzi wa kawaida? Mwenye anaweza kudai fidia ni yule mwenye mkataba nao kama wale ma agent wakubwa wanaolipia mzigo kabla na deposit ya assurance
 
Kwamba ulitaka ulipwe Fidia ya kitu gani ? Kama ni mtungi nina uhakika unaweza uka-swap kwa distributor mwingine huenda akashukuru kwamba unahamia kwake....

Sidhani kama ni practical kwa kampuni kuingia mkataba na wewe na ku-guarantee kwamba wataku-supply to infinity.....; shit happens
 
Stoo;
Tuna laini za Zantel, Tritel.
Tuna Ving'amuzi vya GTV.
Baki na Mtungi wa PUMA GAS.
 
Tafuta rangi ya oryx, mihan, taifa alafu ubadili rangi.
 
Watumiaji wa Manjis na nyie mkae mkao wa kula, kilichowakuta Puma kinaenda kutokea na kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…