Ndugu Billionaire kimsingi hayo maswali ilipaswa kuuliza kabla hujaamua kuwekeza, yaani kimsingi Leo ungeweza kutujibu maswali hayo
.
Kweli kabsaaa.
Hili swali ungejiuliza kablaKuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Business= goods and services in exchange to money. Japo hata kwenye biashara pia watu hupigwa vilevile Nigerians , wapopo Wana platforms kibao za mauzo ukilemaa unapigwa na bidhaa zako au unatumia bidhaa unaambiwa iko chini ya kiwango wao hawawezi kuichukua usubiri wakuuzie , utasubiri hadi uchoke na uchakae, kitu cha kibiashara unaona kabisa mbona matajiri wakubwa hawapo huko wewe unahisi ni mchongo tena unafanya Siri kumbe dunia inakuona boya Tu kama maboya wenginePole mtumish ushapigwa
Biashara ni huduma na bidhaa
Full stop