themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Yousef Al-Basha wa IndiaJe ni nani ambae anahusika
hawatengenezi whatsapp, jamaa anachofanya anaichukua ile whatsapp original, kisha anaivunja vunja kupata source code ( decompilation ) kisha anaongeza zile features janja, kisha anai re-compile na kutengeneza APK, tayari kwa matumizikutengeneza hizi fake whatsapp
Asante... Hivi yeye mtengenezaji anapata faida ganiYousef Al-Basha wa India
hawatengenezi whatsapp, jamaa anachofanya anaichukua ile whatsapp original, kisha anaivunja vunja kupata source code ( decompilation ) kisha anaongeza zile features janja, kisha anai re-compile na kutengeneza APK, tayari kwa matumizi
kumbuka yeye ameongeza features tu, servers zinabaki kua zilezile za kampuni ya Meta, accounts zote zinakua linked na servers, mawasiliano toka mtu-mtu (au ya group) yanakua bridged/brokered na servers
mara nyingi hua ni passion, na ads za hapa na pale ( kwenye ile web mama ya izo whatsapp mods )Asante... Hivi yeye mtengenezaji anapata faida gani
Hata MPESA, NMB, CRDB n.k apps unaweza kuzifanyia hivi?Yousef Al-Basha wa India
hawatengenezi whatsapp, jamaa anachofanya anaichukua ile whatsapp original, kisha anaivunja vunja kupata source code ( decompilation ) kisha anaongeza zile features janja, kisha anai re-compile na kutengeneza APK, tayari kwa matumizi
kumbuka yeye ameongeza features tu, servers zinabaki kua zilezile za kampuni ya Meta, accounts zote zinakua linked na servers, mawasiliano toka mtu-mtu (au ya group) yanakua bridged/brokered na servers
huwq napigwa ban ya saa 1 lila mara afu naachiwa, ila sasaizi wananipiga ban ya dk 10 kila maraKwa miaka 6 kumekuwa na vitu vinaitwa Whatsapp Gb,Yo Whatsapp ,Gb instata na nyinginezo ambazo mtu anatumia na kuweza kupata access ya hiyo.mitandao sema anakuwa anapata vionjo vingi ambavyo havipo kwenye original vision ya whatsap iliyo Google play
Ila kipindi cha hivi Karibuni Whatsap wamekuwa wakzipiga Life ban namba ambzo zimebainika zinatumia whatsapp gb na nyinginezo,wengi sana wameshafungiwa
Ila swali nalijiulizaga Je ni nani ambae anahusika kutengeneza hizi fake whatsapp ambazo zinaacses moja kwa moja na acconunts za Whatsapp, Kama ni Rahisi mtu kujitengenezea fake app ya whatsapp na anaweza kuacess moja kwa moja kwenye whatsapp basi Hata CRDB,NMB,MPESA,TIGOPESA APP wahuni wangezitengeneza alafu tungekuwa tunaweza kuaccess kwenye account zetu lakini ni kitu ambacho ni impossible
Sasa nachokiona mm inawezekana whatsapp wanajua huu mchezo or ni wenyewe wanahusika
naamini hizi app zimeundwa na devs nguli kabisa, japo kila pwagu ana pwaguzi wake
ndio nilichouliza jamaa hana jibu sahihi