Wikiliki JF-Expert Member Dec 20, 2010 528 139 Dec 14, 2012 #1 Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri.
Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri.
C Concrete JF-Expert Member Mar 12, 2011 3,605 549 Dec 14, 2012 #2 Wikiliki said: Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri. Click to expand... Ni tofauti na hivi vilivyopo? Hilo tangazo lina vivutio gani? Bei yake ni kiasi gani?
Wikiliki said: Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri. Click to expand... Ni tofauti na hivi vilivyopo? Hilo tangazo lina vivutio gani? Bei yake ni kiasi gani?
T tisa desemba JF-Expert Member Nov 13, 2011 434 114 Dec 15, 2012 #3 Wikiliki said: Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri. Click to expand... hawajaanza kuviuza, wanategemea kuanza kuviuza jan 2013, ving'amuz vyao ni vya digitek.
Wikiliki said: Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri. Click to expand... hawajaanza kuviuza, wanategemea kuanza kuviuza jan 2013, ving'amuz vyao ni vya digitek.
M msela69 Member Jun 8, 2009 19 3 Feb 5, 2013 #4 New office Karibia na Kijitonyama ukitokea Victoria on your left. Bango limefunikwa bado