Kampuni ya basic transmission ltd (btl) yaanza kuuza ving'amuzi.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri.
 
Wadau wa jf leo katika EATV nimeona tangazo la ving'amuzi hapo juu vinauzwa. je kuna mtu ameshanunua. vinauzwa wapi. ni vizuri.
Ni tofauti na hivi vilivyopo?
Hilo tangazo lina vivutio gani?
Bei yake ni kiasi gani?
 
New office Karibia na Kijitonyama ukitokea Victoria on your left. Bango limefunikwa bado
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom