concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Nadhan umeng'aka kwenye bei tu. Ukasahau kila nchi inautaratibu wake. Tukisema kwamba hatununui magar ya ukweli kwa sabab hatuna uwezo Wa kulipa pia ukubali pia kuna haohao watz wana marcopolo paradiso 1800dd zambia. Sheria za kwetu ni tofaut na za kwenu. Mfano kuna urefu ukizid basis gar lako utalipunguza pia kuna ishu ya mizan. Kwenye ishu ya transportation hasa road watz tumejitahid sana tena mpaka nchi za wenzetu tumekata. Mfano msumbiji almost ya northern area imekamatwa tz ten MTU mbili lakin mnaojiita hardworkers zaid ya kuona mnakuwa watumishi na wauza uchi nchi za wenzenu. Kama mnabisha nipen investment ya maana inayomilikiwa na black Kenyan kama kina njoroge,muthon,njeri,kipsoi,Hayo ni maisha ya umaskini na kubebana na ndio athari za ujamaa, inalemaza hata uwezo wa kutumia akili. Haifai kila kitu utegemee kiwe cha bei ya chini halafu bado unataka huduma bora. Lazima umpe mwanabiashara uhuru wa kupiga mahesabu yake bila kukandamizwa, japo kwa kuhakikisha naye hatumii hiyo fursa kunyanyasa.
Unakuta mwenye daladala kaliachia hadi linakua chakavu maana faida anayopata ni kidogo sana, linakua chakavu na chafu na la kushangazaa Watanzania hadi hata wale wa kipato cha kati wote wanang'ang'ania na kubanana ndani ya hayo madaladala kisa alipe 300Tshs (15Kshs). Ukipenda kuishi maisha ya kimaskini/ujamaa na ubahili bila kupenda kutumia hela, ndivyo utakavyokua.
Jamaa kapiga suti ya bei, jinsi alivyovaa inadhihirisha ana kipato kizuri, lakini amebanana na wamama wauza samaki wa Kivukoni, humo ndani ya daladala chafu, linanuka halafu uongeze na joto ya Dar na foleni/jam ya kufa mtu. Eti anakwenda ofisini au kikao sehemu. Lakini hataki kulipa zaidi ya 300Tsh (15Ksh)
Walaa asikubabaishe mwambie alete risit ya zzile matatu zao za nairobiHuku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea
Lete matatu zenu za town Nairobi. Namaanisha vile vihiace vyenu vinavopiga route katkat ya NairobiHaaha nisaidie tket ya matatu ili nithibitishe
Nadhan umeng'aka kwenye bei tu. Ukasahau kila nchi inautaratibu wake. Tukisema kwamba hatununui magar ya ukweli kwa sabab hatuna uwezo Wa kulipa pia ukubali pia kuna haohao watz wana marcopolo paradiso 1800dd zambia. Sheria za kwetu ni tofaut na za kwenu. Mfano kuna urefu ukizid basis gar lako utalipunguza pia kuna ishu ya mizan. Kwenye ishu ya transportation hasa road watz tumejitahid sana tena mpaka nchi za wenzetu tumekata. Mfano msumbiji almost ya northern area imekamatwa tz ten MTU mbili lakin mnaojiita hardworkers zaid ya kuona mnakuwa watumishi na wauza uchi nchi za wenzenu. Kama mnabisha nipen investment ya maana inayomilikiwa na black Kenyan kama kina njoroge,muthon,njeri,kipsoi,
Hahaaa labda sikuwepo anyway sijawahi sikia malalamiko kuhusu luxury buses za kwetu lakin kule TripAdvisor wanayaponda sana mabus yenu kuwa yanakutu na cockroaches sass na hiyo nauli yenyewe HIV Nairobi Mombasa ni km ngap kwa ksh1400 na unaambulia siti chini kuna kutu. Wakat kwetu dar Dom almost km500 kwa tsh 35000 na msosi juuHehehe Naona nimekugusa pabaya kwa jinsi unavyokurupuka na kutokwa povu na kubadili gia hadi sielewi unachokiongea kuhusu.
Mambo ya investment za Waafrika weusi Kenya sina haja ya kuhangaika maana tulishawapa data za kutosha, unaweza ukatafuta mwenyewe.
Bora nilipe kidogo ila nipate huduma za ukweli ndo maana tahmeed kwa kujua hatutaki panya kawachia hukohuko majeneza yenu huku full kipupweHehehe Naona nimekugusa pabaya kwa jinsi unavyokurupuka na kutokwa povu na kubadili gia hadi sielewi unachokiongea kuhusu.
Mambo ya investment za Waafrika weusi Kenya sina haja ya kuhangaika maana tulishawapa data za kutosha, unaweza ukatafuta mwenyewe.
Hahaaa labda sikuwepo anyway sijawahi sikia malalamiko kuhusu luxury buses za kwetu lakin kule TripAdvisor wanayaponda sana mabus yenu kuwa yanakutu na cockroaches sass na hiyo nauli yenyewe HIV Nairobi Mombasa ni km ngap kwa ksh1400 na unaambulia siti chini kuna kutu. Wakat kwetu dar Dom almost km500 kwa tsh 35000 na msosi juu
Hehehe,Eti kutu, hivi unayajua mabasi ya Mombasa - Nairobi wewe, hehehehe!! Naona nabishana na mtu ambaye hajatoka kwenye mabanda ya Dar, kwaheri, sipotezi muda tena....
Japo itabidi nikuachie mapicha kadhaa ya mabasi ya Mombasa-Nairobi, labda yatakuamsha
Hehehe,
Mk254 wewe I am sure100% unaishi zaidi bongo kuliko Kenya, na I am sure totoz za kibongo na maisha ya kibongo yamekubamba sana.
Unajua kwenye usafiri wa mabasi hachomoki, tupo mbali sana, sana..
Ngoje niwape mapicha kadhaa hapa hao jamaa zako wa kilifi waone jinsi bongo kuzuri,
Either safiri kwenda Arusha (the A city) au Mbeya (the Green City), au Mwanza (the rock city), au Dodoma (mjengoni), au Tanga jiji la Maraha, au Tabora, au Iringa, au Kigoma mwisho wa reli, kote kote tz ni raha tupu..
In fact Kenya inazidi tz kwa GDP tu!!
Furahia hizi picha za baadhi ya usafiri luxury wa buses kwenda mikoani..
View attachment 422432View attachment 422433View attachment 422434View attachment 422435View attachment 422436View attachment 422437View attachment 422438View attachment 422439View attachment 422440View attachment 422441View attachment 422442View attachment 422443View attachment 422444View attachment 422445View attachment 422446View attachment 422447View attachment 422448View attachment 422449View attachment 422450
Unataka nyingine,
Karibu wikendi. Tupo Morogoro mji kasoro bahari Leo.
Hiyo picha ya interior umetoa kwa picha ya Tahmeed Coach ambayo inapiga route ya Malindi-Mombasa-NairobiHehehe,
Mk254 wewe I am sure100% unaishi zaidi bongo kuliko Kenya, na I am sure totoz za kibongo na maisha ya kibongo yamekubamba sana.
Unajua kwenye usafiri wa mabasi hachomoki, tupo mbali sana, sana..
Ngoje niwape mapicha kadhaa hapa hao jamaa zako wa kilifi waone jinsi bongo kuzuri,
Either safiri kwenda Arusha (the A city) au Mbeya (the Green City), au Mwanza (the rock city), au Dodoma (mjengoni), au Tanga jiji la Maraha, au Tabora, au Iringa, au Kigoma mwisho wa reli, kote kote tz ni raha tupu..
In fact Kenya inazidi tz kwa GDP tu!!
Furahia hizi picha za baadhi ya usafiri luxury wa buses kwenda mikoani..
View attachment 422432View attachment 422433View attachment 422434View attachment 422435View attachment 422436View attachment 422437View attachment 422438View attachment 422439View attachment 422440View attachment 422441View attachment 422442View attachment 422443View attachment 422444View attachment 422445View attachment 422446View attachment 422447View attachment 422448View attachment 422449View attachment 422450
Unataka nyingine,
Karibu wikendi. Tupo Morogoro mji kasoro bahari Leo.
Not true kafrican, that's shabiby VIP bus,Hiyo picha ya interior umetoa kwa picha ya Tahmeed Coach ambayo inapiga route ya Malindi-Mombasa-Nairobi
View attachment 422467
Wow: Is This Nairobi – Mombasa Bus The ‘first 5 Star Bus’ In Kenya (photos)
BTR pia tunakuja tu
kama trey songz mwenyewe alikubali
View attachment 422584 View attachment 422589 View attachment 422592
http://www.travelchannel.com/interests/travel-tips/articles/top-10-bedbug-infestation-spotsSome of these guys are just being so great to what is otherwise pathetic. Nini cha kukubalika hapo? Trucks heavily infested with kungini? Come on, get back to your sense.
Kafrican how old are you??kama trey songz mwenyewe alikubali
View attachment 422584 View attachment 422589 View attachment 422592
enough to be your fatherKafrican how old are you??
Hayakuhusu. Kenya sio tz sawaHahahahaha Receivership tayari???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IN EA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?