CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
A very funny joke, thanksKAMPENI ZA UCHAGUZI 2020
Hapana Shana CCM Watamsimamisha Dr. John Pombe Magufuli na Ukawa Watamsimamisha Low assa au Lissu au Zitto Kabwe. Na hivi ndivyo watakavyoomba ridhaa ya Wananchi kwa kipindi cha 2020-2025
DR. John Pombe Magufuli Wa CCM.
1. Serikali imetoa elimu bure kuanzia darasa la awali hadi kidato cha nne
2. Tumeanzisha miradi mbalimbali mikubwa kama vile Reli ya kisasa, Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, tunajenga Bwawa la kuzalisha Umeme huko Rufiji n.k. Miradi hii itainua uchumi wa nchi na kutoa ajira kwa watu wetu
3. Tumejenga miundombinu ya Barabara za juu na chini, Madaraja ili Watanzania waweze kufanya shughuli zao kirahisi ikiwa ni pamoja na kurahishisha wakulima kusafirisha mazao yao haraka na kwa unafuu zaidi.
4. Tumenunua ndege ili kuongeza idadi ya Watalii na hivyo pato la Taifa litaongezeka
5. Tumepunguza Rushwa kwa kiasi mikubwa na kupambana na ufisadi.
6. Tumewaondoa Watumishi hawa, wanafunzi hewa ambao walikuwa wanaliingizia hasara Taifa kutokana na malipo hewa.
7. Tumerudisha nidhamu makazini, wananchi hivi sasa wanapata huduma maofisni, hospitalini bìla usumbufu.
8. Serikali imekuwa upande wa Wakulima wakati wote hasa wakati wa kuuza mazao yao ili wapate Kufaidi jasho lao .
9. Serikali imebana matumizi kwa kupunguza Safari za nje, Warsha, na Vikao ambazo zilitumia fedha nyingi.
10. Tumeongeza bajeti katika sekta za elimu, afya na kwenye miradi ya Maendeleo
Naombeni ridhaa yenu ili Nikamilishe miradi hii na kutekeleza ilani ya uchaguzi ya 2020-2025. Asanteni sana.
EDWARD LOWASSA/TUNDU LISSU/ZITTO KABWE
1. Tuliwasaidia ACACIA kuishtaki Serikali
2. Tumewezesha Ndege wetu kuzuiliwa Canada.
3. Tumeweza kuwashawishi nchi wahisani kusitisha misaada kwa Tanzania kwa sababu Mashoga wanaonewa.
4. Tumeweza kuwatetea Mashoga na Wasagaji
5. Tulijaribu kuwavuruga wakulima wa Korosho tukashindwa, Awamu hii mkitupa kura tutafanikiwa.
Naombeni ridhaa yenu sisi tutakuwa wanyenyekevu kwa wahisani ili tupate fedha, tutaruhusu Ushoga, tutajenga Wodi za wazazi mashuleni ili watoto wetu wawe wanajifungulia mashuleni kuepuka kukosa masomo. Mikakati yetu ni mingi mtuamini.View attachment 938919
WAKORINTHO 1Kwa ajili hizi; mtafungwa na Lesotho kila siku.
Tofautesheni siasa na furaha, huyu ndugu kaamua kutumia siasa kutuchekesha na kuwa na mood nzuri, wewe unaichukulia serious.Hii jitu nimeamka usiku nimekuta limenifollow nikajua ni limtu lenye akili kumbe jinga naombeni msaada niliblock lini unfollow
Jiwewe nawe ehhhHii jitu nimeamka usiku nimekuta limenifollow nikajua ni limtu lenye akili kumbe jinga naombeni msaada niliblock lini unfollow
Tofautesheni siasa na furaha, huyu ndugu kaamua kutumia siasa kutuchekesha na kuwa na mood nzuri, wewe unaichukulia serious.
Hilo halitatokea, Zitto maisha yake hata mizimwi yote ya kigoma na burundi akiyaunganisha chadema hawampi usukuni, Lissu ni tishio kubwa sana kwa jamii kubwa ya chadema, Lowassa is a deflated tyre. Tutegemee Nyalandu huenda ma sponsor wake wa kimarekani wanaweza kumletea mchango wa maana sana , kuna Investment group moja kubwa wanafnya mazungumzo, na mbowe weshaonana na hao jamaa.
Mods futa huu uchafu.KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020
Hapana Shana CCM Watamsimamisha Dr. John Pombe Magufuli na Ukawa Watamsimamisha Low assa au Lissu au Zitto Kabwe. Na hivi ndivyo watakavyoomba ridhaa ya Wananchi kwa kipindi cha 2020-2025
DR. John Pombe Magufuli Wa CCM.
1. Serikali imetoa elimu bure kuanzia darasa la awali hadi kidato cha nne
2. Tumeanzisha miradi mbalimbali mikubwa kama vile Reli ya kisasa, Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, tunajenga Bwawa la kuzalisha Umeme huko Rufiji n.k. Miradi hii itainua uchumi wa nchi na kutoa ajira kwa watu wetu
3. Tumejenga miundombinu ya Barabara za juu na chini, Madaraja ili Watanzania waweze kufanya shughuli zao kirahisi ikiwa ni pamoja na kurahishisha wakulima kusafirisha mazao yao haraka na kwa unafuu zaidi.
4. Tumenunua ndege ili kuongeza idadi ya Watalii na hivyo pato la Taifa litaongezeka
5. Tumepunguza Rushwa kwa kiasi mikubwa na kupambana na ufisadi.
6. Tumewaondoa Watumishi hawa, wanafunzi hewa ambao walikuwa wanaliingizia hasara Taifa kutokana na malipo hewa.
7. Tumerudisha nidhamu makazini, wananchi hivi sasa wanapata huduma maofisni, hospitalini bìla usumbufu.
8. Serikali imekuwa upande wa Wakulima wakati wote hasa wakati wa kuuza mazao yao ili wapate Kufaidi jasho lao .
9. Serikali imebana matumizi kwa kupunguza Safari za nje, Warsha, na Vikao ambazo zilitumia fedha nyingi.
10. Tumeongeza bajeti katika sekta za elimu, afya na kwenye miradi ya Maendeleo
Naombeni ridhaa yenu ili Nikamilishe miradi hii na kutekeleza ilani ya uchaguzi ya 2020-2025. Asanteni sana.
EDWARD LOWASSA/TUNDU LISSU/ZITTO KABWE
1. Tuliwasaidia ACACIA kuishtaki Serikali
2. Tumewezesha Ndege wetu kuzuiliwa Canada.
3. Tumeweza kuwashawishi nchi wahisani kusitisha misaada kwa Tanzania kwa sababu Mashoga wanaonewa.
4. Tumeweza kuwatetea Mashoga na Wasagaji
5. Tulijaribu kuwavuruga wakulima wa Korosho tukashindwa, Awamu hii mkitupa kura tutafanikiwa.
Naombeni ridhaa yenu sisi tutakuwa wanyenyekevu kwa wahisani ili tupate fedha, tutaruhusu Ushoga, tutajenga Wodi za wazazi mashuleni ili watoto wetu wawe wanajifungulia mashuleni kuepuka kukosa masomo. Mikakati yetu ni mingi mtuamini.View attachment 938919
Ahahhahahahhahaha nimecheka wallahiKAMPENI ZA UCHAGUZI 2020

Umesahau mengi mbona?KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020

mavi tupu umeandikaKAMPENI ZA UCHAGUZI 2020