kwi!kwi!kwi!
babu wa upande wa kulia amevaa gwanda.
wakuu,leo tena nimepitia ule uzi wa www.mjengwablog.com na nimekuta kuna picha za leo za ccm.jana niliwapasha kuhusu picha za chadema mtu akatuletea.sasa naomba mwenye kuweza atuletee hapa ili tuone tofauti ya Magamba na magwanda.
Kweli uwingi ni relative term lakini lazima unaonekana basi hata maji kwenye glass unaweza kusema haya maji ni mengi ingawa hayalingani na maji machache kwenye kisima lakini uwingi wake kwenye glass unaonekana, sasa kwa hali hii hata kama ni kijijini, tuseme timu ya msafara wa Sioi na kina Nchembe na wapambe wao ilikuwa na watu 30 ukiwatoa hao utabaki na kitu pale. Jamani tuwe realistic sometimes si kutetea tu kila kitu.hivi tunategemea kijiji kina watu wangapi?tujifunze kutofautisha kijiji na miji midogo.picha hizi zinaonyesha wapiga kura wa ccm yaani kina mama na wazee kwa wingi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
dah.... kweli wabongo tumechoka, yaani hao wazee wangu wamekauka kweli kwa shida za nchi hii
Saturday, March 17, 2012
Kampeni Za CCM Leo Arumeru
Siamini kama hii ndiyo CCM niliyoijua.(kwa hisani ya Plato)
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo
Wazee wa kijiji cha Mikandini jimbo la Arumeru Mashariki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Sioi wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye kijiji hicho.
Kinamama Mikandini wakimshangilia Sioi
[TD="align: center"]Reactions::
[/TD]
Afu CCM mtaji wao ndo watu waliochoka kama hao wazee hapo, wanawagawia unga na mchele wa kuganga njaa siku mbili afu uchaguzi ukipita wanawatupa kule, ila mimi siwahurumii kabisa wacha wakauke mpaka wafie mbali manake ndio njia waliochagua!dah.... kweli wabongo tumechoka, yaani hao wazee wangu wamekauka kweli kwa shida za nchi hii