L.a Makisi Member Joined Mar 29, 2011 Posts 44 Reaction score 4 Mar 24, 2012 #1 ccm leo jioni walikuwa kata ya maji ya chai kijiji cha imbaseni: Attachments majichai1.JPG 353.5 KB · Views: 83
P politiki JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 2,376 Reaction score 1,519 Mar 24, 2012 #2 waliokuwa wanabisha kuhusu uchache wa watu kwenye mikutano ya ccm nafikiri sasa wana ushahidi wote yaani pamoja na gari kubwa na bendi ndani yake wameishia kujaza watoto
waliokuwa wanabisha kuhusu uchache wa watu kwenye mikutano ya ccm nafikiri sasa wana ushahidi wote yaani pamoja na gari kubwa na bendi ndani yake wameishia kujaza watoto
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Mar 25, 2012 #3 L.a Makisi said: View attachment 50100 ccm leo jioni walikuwa kata ya maji ya chai kijiji cha imbaseni: Click to expand... Hivi mnaoshabikia CCM mna kipi cha maana cha kushabikia wakati nchi mnaiona ina matatizo lukuki?
L.a Makisi said: View attachment 50100 ccm leo jioni walikuwa kata ya maji ya chai kijiji cha imbaseni: Click to expand... Hivi mnaoshabikia CCM mna kipi cha maana cha kushabikia wakati nchi mnaiona ina matatizo lukuki?
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 Mar 25, 2012 #4 lori la komba limekuwa mzigo huko arumeru.hata komba alikiri hilo.