Viongozi waliofanya hivyo wanatakiwa kuwajibishwa. Mbowe anatakiwa aachie uenyekiti
Ninaamini agenda kuu itakuwa msimamo wa chama juu ya wagonbea waliokatwa hivyo hivyo kunyang'anywa haki zao za kushiriki/kugombea kwenye uchaguzi mkuu 2020.Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.
Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.
Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7 ?
Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?
Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Pesa yake ndio ilikuwa inakubalika sio sura kama ya LisuEL bana alikuja tanga kule uwaja wa Ocean road aisee mzee kaja dakika tano tu kashuka ni mwendo wa peoplez power
Napenda mageuzi Ila Kuna disappointment kubwa. Fikiria mapingamizi ya Lisu kwa Lipumba na madhara yake. Lipumba alishajifia kumwekea pingamizi ni kumpa pumzi. Sasa leo upo Mbagala ambako Lipumba hata akitapika watasema juiceUna hoja ila unapigia mbuzi gitaa hayo yangewezekana Kama mgombea angekuwa Nyalandu huyu kichwa maji Lisu hawezi pokea ushauri
Makongoro alikuja kalewa chakari akawa anasema miwani niyovaaa hoyeeee!! Badala ya kusema CCM au Magufuli hoyee!!!Kuna Mambo ukiyaona na kuyasikia kwa watu unaowasapoti na CV zao huwezi kuamini na unaishia kuwa disappointed.
Hata CCM walimuandaa Makongoro kumnadi Magufuli lakini baada ya masihara yake pale Jangwani wakamtoa.Kila neno utalotoa pale Ni mjadala na ukikosea unawamaliza nguvu wanaokusapoti.
Tundu Lissu ajaribu kuongelea issues(maswala) pasipo kutaja jina la mtu, anaweza akawa anaongelea CHADEMA watafanya nini kama wakipewa madaraka na maswala hayo yakawa ni yale yakuonesha nini kimefanyika na wao watafanya nini, in a way watakuwa wanakosoa yaliyofanyika.Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .
Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.
Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari
Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.
Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.
CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.
Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
Ndio wajipange kujua mtu sahihi wa kuzungumza. Muda sahihi na vielelezo au data kamilifu. Kiukweli Wana Mambo memgi ya msingi ya kuzungumza .Je wataweza,,,? Ikiwa mhusika mkuu alikua Polisi kufuata gari huku akijua masuala ya kipolisi hayajaisha. Ikiwa usiku usiku ndio anapuyanga Kurudi DSM. Je anataka kutoa hotuba freestyle au amekaa na wenzake wakajiandaa kwamba wewe utaomgelea hili Mimi hili huyu hili na yule lileNinaamini agenda kuu itakuwa msimamo wa chama juu ya wagonbea waliokatwa hivyo hivyo kunyang'anywa haki zao za kushiriki/kugombea kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Chama hakuwezi kuendelea na kampeini wakati wagonbea wake wa ubunge zaidi ya 60 wameenguliwa na wagonbea udiwani zaidi ya 600 wameenguliwa pasipo haki kutendeka.
Hakuna haja ya kumhofia mtu. Anayestahili kupigwa "nondo" apigwe tu. Nchi yetu sote hii.CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Tuanapiga kanzu tobo .......kofia hoyeee....na wakwetu akasema namfungulia Babu Seya yaani first day hoja Babu SeyaMakongoro alikuja kalewa chakari akawa anasema miwani niyovaaa hoyeeee!! Badala ya kusema CCM au Magufuli hoyee!!!
Bora huyu kuliko yule mtekaji , muuaji, mbaguzi na dikteta uchwara. Hatakiwi kwa kweli.Yaani tuache kazi zetu tukamsikilize Mchekeshaji
Mkuu njoo pmHata mimi bado nahisi kidogo tuna tatizo kwenye priority
Tume focus sana kwa mgombe urais kuliko huku chini ambako mimi nafikiri ndio mwanzo mzuri
Kwangu mimi kupata wabunge wengi zaidi na zaidi ni rahisi zaidi kuliko kutangazwa umeshinda urais
Kwenda kwenye uchaguzi huku tayari wagombea ubunge 60+ wameisha fanyiwa figisu na kuondolewa na wagombea udiwa 600+ nao wameondolewa ni hatari sana
Kama hatuna cha kufanya kwa sasa baada ya udhalimu huu sijui tutafanya nini baada ya kuibiwa na kura
Najua sio rahisi lakini lazima chama kionyeshe ukali katika hili na kwa bahati mbaya sijasikia sana walioenguliwa kimagumashi kama rufaa walikata na zinafikia wapi
Well saidNi Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .
Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.
Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari
Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.
Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.
CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.
Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
Mkuu CDM haijawahi kushika dola so haina cha kueleza imefanya niniTundu Lissu ajaribu kuongelea issues(maswala) pasipo kutaja jina la mtu, anaweza akawa anaongelea CHADEMA watafanya nini kama wakipewa madaraka na maswala hayo yakawa ni yale yakuonesha nini kimefanyika na wao watafanya nini, in a way watakuwa wanakosoa yaliyofanyika.

Tundu Lissu ajaribu kuongelea issues(maswala) pasipo kutaja jina la mtu, anaweza akawa anaongelea CHADEMA watafanya nini kama wakipewa madaraka na maswala hayo yakawa ni yale yakuonesha nini kimefanyika na wao watafanya nini, in a way watakuwa wanakosoa yaliyofanyika.
Mimi nilimfuata inbox Makene hajawahi kujibu mpaka leo.Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.
Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.
Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7 ?
Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?
Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Unampenda Nyarandu kwa vile unaona dhaifu kwa jpm kama ilivyokuwa kwa slaaUna hoja ila unapigia mbuzi gitaa hayo yangewezekana Kama mgombea angekuwa Nyalandu huyu kichwa maji Lisu hawezi pokea ushauri
Kama unataka ubwabwa si unde kwa Rungwe!!Pesa yake ndio ilikuwa inakubalika sio sura kama ya Lisu
Watu kuimba kwa nguvu Hadi kuzimia slogan ya people's power lazima mtu awe kashiba barabara kashibishwa .Lowasa aliwashibisha kwanza!!! Lisu anatoa macho tu !!! Lisu anataka kuimba tu people's power huku Watu Wana njaa!!!
Rungwe Aweza shinda kura nyingi kuliko Lisu na ubwabwa anaotembea nao Kuna watu wanapenda ubwabwa kuliko hotuba za Lisu usione Rungwe mjinga akigawa ubwabwa watu wanampa kuraKama unataka ubwabwa si unde kwa Rungwe!!