Kampala requires skill & creativity

Zipo zinazojali utu na kikomaa unazipata vzr tu
Ngoja niendelee kupambana, kuna moja hiyo niliipata wako vzr ila tulishindwana kwenye majukumu, wananipa majukumu ambayo hatujakubaliana nao afu wanasema hawaoni maendeleo yangu, ikabidi nikimbie nirudi kwenye kibarua cha mwanzo kabla hakijaota vumbi.
 
Kheee🤣🤣🤣

Harakati za mtu mweusi! Sema ukizeeka uko palepale usishangae sana.. inatokea tu😎
 
Kheee🤣🤣🤣

Harakati za mtu mweusi! Sema ukizeeka uko palepale usishangae sana.. inatokea tu😎
Dah ntalia sana 😭

Anyway, ungekuta sasa hv niko private yenye kujitambua, ila ndo hvy watu na roho zao mbaya, wakanichoma 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…