Kama Unataka Kujua Kwanini Van Dame Alisema "No Retreat No Surrender"! Basi Sikiliza Maneno Ya Wapayukaji na Usiende Hapo Chuoni Usubiri Uombe Mwakani Uone!!!
KIU ni Chuo Kizuri Chege Full Registration tofauti Na Wajinga Wanavyokitangaza Vibaya. Mimi Ninachokijua Hapo KIU ila Yake ni Kuhusu Ada tu Kwani Ada Zake Zipo Juu Sana!!
Kwa Bachelor Of Pharmacy itakubidi Uongezee Na 2.2M kila Mwaka!
Kwasababu Ada ni 3.8M, na Mkopo Serikali inakupa 1.6M, Zilizobakia Unaongezea Mwenyewe.