Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

Wewe umechanganyikiwa kabisa, hakuna kitu cha bure duniani.
 
Yule jamaa wa ubelgiji naye akitamka anautaka urais shilingi itapanda ? au hii ni kwa huyu aliyeko ndani ya chama kimoja? kwa hiyo wa chama kimoja wanatishiana nyau na kuogopana wenyewe kwa wenyewe!
Hivi tarehe ya kurudi bado..?
 
Sikubaliani na wewe hapana maoni yake yana mantiki sema uwasilishaji wake umejaa midhaha na masihara!.Soma ZAB.1:1-2,Heri mtu yule asiyekwenda shauri la wasio haki............................................!
 
I am sorry for disappointing you. Nipo. 2020 kazi na bata
 
Yule jamaa wa ubelgiji naye akitamka anautaka urais shilingi itapanda ? au hii ni kwa huyu aliyeko ndani ya chama kimoja? kwa hiyo wa chama kimoja wanatishiana nyau na kuogopana wenyewe kwa wenyewe!
Yule mliyempiga risasi??
 
Reactions: Qwy
Huyo Maembe Chameleon aka Kachelo mbobezi, mfundisheni kuandaa ‘slogan’ zenye ushawishi sio zile ‘Twende na Maembe’..... afadhali kidogo hii Kazi na Bata.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…