Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Hawa jamaa wanapigiwa kura na nani? Wabunge, au? Kama ni wabunge basi Cheyo wala hana upinzani wa kutisha kama ulivyoripoti unless wabunge wa CCM wawe wamebadilika!! Kwa ninavyofahamu upuuzi uliopo bungeni, usishangae wabunge wa CCM wakampigia Cheyo badala ya Zitto! Nakumbuka hata Uenyekiti kupitia POAC, inasemekana Zitto ilibidi apige magoti kwa JK baada ya wana-CCM kutaka kumtosa!
Hawa jamaa wanapigiwa kura na nani? Wabunge, au? Kama ni wabunge basi Cheyo wala hana upinzani wa kutisha kama ulivyoripoti unless wabunge wa CCM wawe wamebadilika!! Kwa ninavyofahamu upuuzi uliopo bungeni, usishangae wabunge wa CCM wakampigia Cheyo badala ya Zitto! Nakumbuka hata Uenyekiti kupitia POAC, inasemekana Zitto ilibidi apige magoti kwa JK baada ya wana-CCM kutaka kumtosa!
Mkuu hawa ndiyo wajumbe wa kamati ya Hesabu za serikali za mitaa.Kamati iliyokuwa ya ya Mrema nayo inahitaji mwenyekiti kutoka upinzani. Je, kama Mrema ametolewa, wajumbe wa kutoka upinzani katika kamti hiyo ni kina nani?
Mkuu hawa ndiyo wajumbe wa kamati ya Hesabu za serikali za mitaa.
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA ______________________________ _________
1 Mhe. Tauhida Cassian Galosi Nyimbo, Mb
2 Mhe. Dunstan Daniel Mkapa, Mb
3 Mhe. Azza Hillal Hamad, Mb
4 Mhe. Yahya Kassim Issa, Mb
5 Mhe. Menrad Lutengano Kigola,Mb
6 Mhe. Bahati Ali Abeid, Mb
7 Mhe. Kulthum Jumanne Mchuchuli, Mb
8 Mhe. Rajab Mbarouk Mohammed,Mb
9 Mhe. Yusuph Abdallah Nassir, Mb
10 Mhe. Philipa Geofrey Mturano, Mb
11 Mhe. Eustas Osler Katagira, Mb
12 Mhe. Muhonga Said Ruhwanywa, Mb
13 Mhe. Munde Tambwe Abdallah, Mb
14 Mhe. Ezekiel Magolyo Maige,Mb
15 Mhe. Mch. Israel Yohana Natse, Mb
16 Mhe. Alfaxard Kange Lugola, Mb
17 Mhe. Felista Aloyce Bura, Mb
18 Mhe.Suleiman Jumanne Zedi, Mb
Why question mark?. Mkuu, kimekupata nini?????!!!!! Haya mkuu, asante...
Thanks for information. Naona timu yenyewe imekaa kichachama zaidi....anyway, labda wanaweza kuweka Utanzania mbele na kutoa chaguo sahihi litakalosimamia maslahi ya TZ.Mkuu, wanapigiwa na wajumbe walioteuliwa kuunda kamati hiyo and obvious, Wabunge wa CCM watakuwa ni wengi, wajumbe ndiyo hawa,
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ___________________
Why question mark?. Mkuu, kimekupata nini
Mkuu hapo umesema na kunigonga utosini.Wanaong'ang'ania kuupata uenyekiti wa kamati ni kwa maslahi ya wananchi au maslahi binafsi, maana kuwa mjumbe wa kawaida tu kwenye kamati mchango wako si utasikika tu??kwa nn ugombanie uenyekiti wa kamati kwani jambo likishindikana si linaamuliwa kwa kura? au mwenyekiti ana allowances and marupurupu mengine zaidi ya wajumbe??
Ok mkuu. Hayo ni maneno ya hekima.I spare my word...
Hiyo ndiyo swala/sala tunayoiomba sana.Thanks for information. Naona timu yenyewe imekaa kichachama zaidi....anyway, labda wanaweza kuweka Utanzania mbele na kutoa chaguo sahihi litakalosimamia maslahi ya TZ.
kamati zote muhimu(nishati,serikali za mitaa na pac(former poac))zimefanyiwa umafia ili madudu ya serikali yasiwekwe hadharani,zitto atapigwa chini na cheyo kwa msaada wa wa ccm..kumbe umafia wa ccm ni zaidi ya kutengeneza clip feki!!
Mkuu hawa ndiyo wajumbe wa kamati ya Hesabu za serikali za mitaa.
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA ______________________________ _________
1 Mhe. Tauhida Cassian Galosi Nyimbo, Mb
2 Mhe. Dunstan Daniel Mkapa, Mb
3 Mhe. Azza Hillal Hamad, Mb
4 Mhe. Yahya Kassim Issa, Mb
5 Mhe. Menrad Lutengano Kigola,Mb
6 Mhe. Bahati Ali Abeid, Mb
7 Mhe. Kulthum Jumanne Mchuchuli, Mb
8 Mhe. Rajab Mbarouk Mohammed,Mb
9 Mhe. Yusuph Abdallah Nassir, Mb
10 Mhe. Philipa Geofrey Mturano, Mb
11 Mhe. Eustas Osler Katagira, Mb
12 Mhe. Muhonga Said Ruhwanywa, Mb
13 Mhe. Munde Tambwe Abdallah, Mb
14 Mhe. Ezekiel Magolyo Maige,Mb
15 Mhe. Mch. Israel Yohana Natse, Mb
16 Mhe. Alfaxard Kange Lugola, Mb
17 Mhe. Felista Aloyce Bura, Mb
18 Mhe.Suleiman Jumanne Zedi, Mb