Gidabuday naye ni mwanaharakati tu hana lolote. Alikuwa katibu mkuu wa chama cha riadha na hakuna alilofanya. Mara ya mwisho niliona anataka udiwani kupitia CHADEMA. Sema Gidabuday na Bayi wanajuana sana. Wote wameishi USA kwa muda mrefu. Mtoto wa Gidabuday yuko timu ya taifa ya riadha ya USA.