Nawatakia kila la kheri.CDM si kama magamba yanavyotapatapa.
Ni jambo zuri kufanya huu mkutano Arumeru. Lakini kuna kitu bado naona kama kina mushkili kidogo. Naona kama CHADEMA wanatumia mfumo unaofanana na CCM. Kwa sasa hivi unaweza kuwa sawa lakini huko mbeleni wanaweza kujikuta wana matatizo haya haya yanayowasumbua CCM. Kwa mfano, kKama DELEGATES wameshachagua mtu kwa nini CC ipitie tena? Kwa nini CC isipitie majina/wasifu kabla ya delegates hawajipiga kura? Itakuwaje kwa mfano CC inabatilisha chaguo la delegates? Si ndio mwanzo wa kujenga kambi? Hili ndilo tatizo la ccm. CHADEMA angalieni upya mfumo wenu.
Kamati kuu,imeshaidhinisha jina la Joshua Nasary,kuwa mgombea Ubunge Arumeru
FJM point yako ni nzuri mchezo wote inabidi umalizwe na kura zinapopigwa tu na si vinginevyo lakini kwa upande wa chadema nafikiri hii CC yao ni kikao cha mikakati zaidi ya kuteua jina la mgombea kama wanavyofanya CCM. kwahiyo labda wangekiita kikao cha kuwekana sawa.Ni jambo zuri kufanya huu mkutano Arumeru. Lakini kuna kitu bado naona kama kina mushkili kidogo. Naona kama CHADEMA wanatumia mfumo unaofanana na CCM. Kwa sasa hivi unaweza kuwa sawa lakini huko mbeleni wanaweza kujikuta wana matatizo haya haya yanayowasumbua CCM. Kwa mfano, kKama DELEGATES wameshachagua mtu kwa nini CC ipitie tena? Kwa nini CC isipitie majina/wasifu kabla ya delegates hawajipiga kura? Itakuwaje kwa mfano CC inabatilisha chaguo la delegates? Si ndio mwanzo wa kujenga kambi? Hili ndilo tatizo la ccm. CHADEMA angalieni upya mfumo wenu.