Kamati kuu CHADEMA angalieni Huu ushauri

Pia chadema msisahau kutoa shukrani kwa mganga wenu ramli yake aliyawapigia imewasaidia sana

CHADEMA wana Mungu, mambo ya kishirikina ni ya CCM. CCM ina washirikina ambao wengine ni maprofesa, profesa maji marefu, Dr. kingunge etc. Waulizeni hao imekuwaje safari hii ushirikina wao haujawapumbaza watanzania?
 
Pia chadema msisahau kutoa shukrani kwa mganga wenu ramli yake aliyawapigia imewasaidia sana

Hahahaaa wanga tutawajua tu humu kwa matendo yenu sisi huwa tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu na amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu Mwenyezi Mungu atamtema nadhani umeelewa wale wadau wa matunguri jinsi wanavyoungua kwa sasa.
 
Ninaomba kutoka kwa mtu anayeaminika anipe mawasiliano ya simu ya Mbowe. Niliomba kwa tumaini Makene lakini sikupata jibu hadi sasa ila ninaamini ni kwa sababu amekuwa busy.

Ninajambo la muhimu la kuwashauri lakini siwezi kuliweka hapa mtandaoni kwa hofu ya panya wezi ccm. Wananusa, wanakwiba, halafu kutumia hawajui wanaishia kuboronga na hivyo kuharibu mipango na malengo mazuri.

Ccm wamekuwa wakiiba mikakati ya wapinzani na kuishia kuiharibu ajili si viwango vyao. Sasa nina masuala makubwa ya kuwashauri UKAWA lakini siyo hadharani na ukoo wa panya wakisikia. Ninaimani mwenye nazo ila anayeaminika, atanipm. Wateka nyara wa mawasiliano samahani sana kaeni mbali na hili haliwahusu.
 
Mkazo mkubwa uwekwe vijijini. Kila jimbo lihakiki matawi na misingi yake na ihakikishwe kuwa kila mahali penye shina au nyumba 10 za CCM nao chadema wanao msingi na uongozi pale. Kila kanda ijitathmini kutumia matokeo ya uchaguzi huu!
 
Mkuu lazima nikiri kuwa mtandao wa jf umesaidia sana harakati za ukombozi wa nchi hii! Unaweza kum pm kiongozi wa cdm yeyote ambaye ni member humu na akujibu vizuri kama ni ushauri akauopkea na kukushukuru na mda baadae ukaona unatekelezwa. Marehemu regia mtema alikuwaga na stiky hapa ya mawazo yetu tunayotaka yasemwe bungeni na tulikuwa tunaona yakijengewa hoja bungeni,so fanya hivyo mkuu utapata namba na nafasi hiyo
 
Chadema ama ukawa dah kwel maskin UKAWA hyooooooooo ishakufa polen upinzan na ndoto za mchana kuingia magogon
 
Ila ingefaa ukisema ushauri kwa UKAWA,maana naona kama chadema mnajigeuza kwa siri kama UKAWA halafu mnajigeuza tena kama chadema,
as if
ukawa= only chadema
 
ni kweli mkuu, lakini pia cdm na ukawa kiujumla wajitaidi kuwajengea uwezo viongozi wote waliochaguliwa kupitia ukawa, ili waweze kuwatumikia wananchi wote kwa usawa bila kujali itikadi zao.
 
exactly, cdm wanapaswa kuufanyia kazi ushauri huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…