Kamata Chumba na Sebule bei chee

Kamata Chumba na Sebule bei chee

keygun

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
114
Reaction score
54
Ninavyo vyumba na sebule maeneo ya goba bei no rahisi mno. Aliye serious anicheki inbox nimpatie namba ya simu.
Nyumba ipo karibu na barabara ya mbezi goba.
 
Nashukuru wengi mmeonyesha interest nimewatumia namba inbox atakayependa kuja kuangalia in free kuangalia na kwa kuongezea vyumba vyote in full tiles na nyumba bado mpya. Karibuni.
 
Mkuu nimekutumia PM naomba majibu ya haraka
 
Vyumba bado vipo wakuu kwa anayeitaji anicheki.
 
Vyumba bado vipo wakuu kimechukuliwa kimoja bado kimoja. Karibuni
 
Je upatikanaji wa maji ukoje?
Je ni self contained.?
Kodi ni kiasi gani kwa mwezi na unachukua kuanzia miezi mingapi.?
Usalama ukojea.?
 
Nashukuru wengi mmeonyesha interest nimewatumia namba inbox atakayependa kuja kuangalia in free kuangalia na kwa kuongezea vyumba vyote in full tiles na nyumba bado mpya. Karibuni.
Nahitaji hiyo nyumba seriously. Nitafikaje hapo leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom