kamasutra

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
mpango mzima...jamaa wanamshagaa aliekua anawapiga chabo
 
Attachments

  • 423613_3107697505764_1664101805_2568989_1085192401_n.jpg
    16.9 KB · Views: 275
Nasikia eti ukiwaona hawa wanyama wanafanya tendo hili waweza patwa na mkosi wa ajabu. Binafsi siamini labda kwa aliyena uhakika atujuze!!
 
nasikia eti ukiwaona hawa wanyama wanafanya tendo hili waweza patwa na mkosi wa ajabu. Binafsi siamini labda kwa aliyena uhakika atujuze!!

mimi nimefuga hao tangu nikiwa darasa la sita na nimewashuhudia tangu kipindi hicho hakuna mkosi wowote, na hiyo pichani siyo staili yao.
 
mimi nimefuga hao tangu nikiwa darasa la sita na nimewashuhudia tangu kipindi hicho hakuna mkosi wowote, na hiyo pichani siyo staili yao.

Asante kwa taarifa kaka/dada.

Nasikia eti ukiwaona hawa wanyama wanafanya tendo hili waweza patwa na mkosi wa ajabu. Binafsi siamini labda kwa aliyena uhakika atujuze!!

unajua enzi zetu paka alikuwa akitumika kumaanisha mzazi that's why wakasema ukiwaona wakifanya tendo utapata mkosi hii ni sawa na kusema ukiwakuta baba yako na mama yako wanafanya kile kitendo utapata mkosi. na pia ilikuwa ni njia ya kuwafanya watoto wasiwe wanaingia vyumbani mwa wazazi wao au kuwachungulia. Paka mimi nilishawaona wakifanya tendo aisee ni kama motor vile ati
 
inamaana wanafanya ka watu wakuu????
 
sijawahi kuwaona paka wakifanyana.hata style zao sizijui
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…