Wadau nimesoma mtandao mmoja (global Publishers) ambapo nimeona wamemtaja Kamanda Suleyman Kova kuwa ni "alhaj", sasa swali langu ni kwamba je ni kweli alhaj au ndio mambo ya magazeti ya udaku? Mwenye taarifa kamili naomba azimwage.

Chuku, mimi naona kama hakuna haja ya utafiti... Kamjingijingi amemaliza yote!! Nijuavyo mimi utafiti unahusisha rasilimali-watu na fedha na muda ambao ungetuletea tija zaidi katika mambo mengine zaidi ya huyu afande sele